NABI:TUTAWAFURAHISHA MWAKA HUU ZAIDI
NASREDDINE Nabi,Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kwa mwaka mpya wa 2022 watazidi kuwafurahisha zaidi mashabiki kwa kupata matokeo mazuri pamoja na kucheza soka safi. Yanga imecheza mechi 11 bila kupoteza mchezo hata mmoja na kibindoni ina pointi 29 ikiwa ipo namba moja kwenye msimamo. Ni ushindi wa mabao 4-0 walipata jana Desemba 31 kwenye…