AISHI Manula, Ally Salim, Beno Kakolanya makipa hawa wa Simba wamekuwa wakifundishwa na kocha wao mpya ambaye ameshaanza kazi ndani ya Simba na leo mmoja kati yao atakuwa na kibarua cha kufanya katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC, utakaochezwa Uwanja wa Mkapa.
Official Website