>

YANGA YATAMBULISHA NYOTA WAPYA WATATU

WINGA Dennis Nkane aliyekuwa akikipiga ndani ya Biashara United sasa ni rasmi atakuwa ndani ya kikosi cha Yanga.

Nyota anakuwa wa tatu kutambulishwa rasmi ndanj ya Yanga baada ya Sure Boy na Aboutwalib Mshery kutambulishwa.

Ni zawadi ya mwaka mpya kwa mashabiki wa Yanga kwa kuwa alitambukishwa Januari Mosi 2022.

Dili lake ni la miaka mitatu kwa ajili ya kuitumikoa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi.