JANUARI Mosi 2022, Uwanja wa Mkapa mashabiki wa Yanga walijitokeza pia kushuhudia mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba v Azam FC ambao ulikuwa ni wa kwanza kwa timu hizo ndani ya ligi kwa msimu wa 2021/22.
Baada ya dakika 90 ilikuwa Simba 2-1 Azam FC ambapo mashabiki hao wa Yanga walikuwa wakipiga stori na mashabiki wa Simba bila tatizo baada ya dakika 90 kukamilika.