
NTIBANZOKIZA AWATAMANI KWELI SIMBA KWA MKAPA
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’ amesema kuwa anatamani kuanza katika mchezo unaofuata dhidi ya Simba huku akiweka wazi kuwa matarajio yake ni kuipa ushindi timu hiyo katika mchezo huo muhimu. Yanga inatarajiwa kumenyana na Simba katika mchezo wa ligi kuu unatorajiwa kufanyika leo Desemba 11, mwaka huu katika Uwanja wa Mkapa, Dar. Mchezo…