
YANGA YAINGIA CHIMBO KUMTAFUTA MSHAMBULIAJI
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kwa sasa upo kwenye hesabu za kumsaka mbadala wa mshambuliaji wao Yacouba Songne ambaye anatarajiwa kuwa nje kwa msimu mzima wa 2021/22. Songne aliumia mguu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu Shooting,Novemba 2,2021 kwa sasa bado anapewa matibabu ili aweze kurejea kwenye hali yake ya kawaida….