
ARSENAL V LIVERPOOL YAAHIRISHWA
MCHEZO wa nusu fainali ya Carabao Cup kati ya Arsenal na Liverpool uliopangwa kuchezwa leo Alhamis Januari 6 umeahirishwa kutokana na kuongezeka kwa wimbi la UVIKO-19. Mchezo huo ulipangwa kuchezwa Uwanja wa Emirates ambapo baada ya kuahirishwa utapangiwa siku nyingine. Liverpool ilipeleka maombi yao kwa FA kutaka mchezo huo uahirishwe kutokana na wachezaji wake wengi…