
KLOPP ANAAMINI MARTINELL ATAKUJA KUWA TISHIO
KOCHA Mkuu wa Liverpool, Jurgen Klopp anaamini kwamba nyota wa Arsenal, Gabriel Martinelli atakuja kuwa tishio baadaye ikiwa ataendelea kuwa kwenye mwendo mzuri. Kocha huyo ameweka wazi kwamba atakuja kufanya vizuri pia ikiwa hatapata majeraha kwa kuwa ikiwa hivyo itakuwa shida kwake kuweza kucheza katika ubora ambao ameanza nao. Raia huyo wa Brazil ameanza vema…