
VIDEO;CHEKI MAZOEZI YA SIMBA KUELEKEA MCHEZO DHIDI YA MLANDEGE
SIMBA leo Januari 7 itakuwa na mchezo wa Kombe la Mapinduzi dhidi ya Mlandege mchezo unaoatarajiwa kuchezwa saa 2:15 usiku na mazoezi ya Simba kuelekea mchezo huo yalikuwa namna hii:-
SIMBA leo Januari 7 itakuwa na mchezo wa Kombe la Mapinduzi dhidi ya Mlandege mchezo unaoatarajiwa kuchezwa saa 2:15 usiku na mazoezi ya Simba kuelekea mchezo huo yalikuwa namna hii:-
BASI la Azam FC ni namba moja kwa ubora Afrika Mashariki na kati kwa sasa ambapo limekuwa ni kivutio kwa wengi na mashabiki wamekuwa wakipenda kupigia picha ikiwa ni pamoja na wale mashabiki wa Simba, Yanga wamekuwa wakifanya hivyo. Pia mashabiki wa Simba nao wamekuwa wakitamba na ndiga yao ambapo nao wamekuwa wakipata muda wa…
HATIMAYE mshambuliaji wa Zanaco FC ya Zambia, Moses Phiri, amefungukia dili lake la kujiunga Yanga, hukuakiweka wazi kuwa bado hajamalizana rasmi na klabu hiyo. Phiri raia wa Zambia, kabla ya kuhusishwa na Yanga, alikuwa akihusishwa kujiunga na Simba ambao awali walionesha nia ya kumsajili kabla ya upepo kuhamia Yanga. Akizungumza na Spoti Xtra moja kwa moja kutoka Zambia, Phiri alisema japo uongozi wake umefanya mazungumzo na Yanga, lakini bado hajasaini mkataba wa kuitumikia timu hiyo, hivyo ataendelea…
BAADA ya Keneth Muguna wa Azam FC kufunga mbele ya Namungo FC kwenye mchezo wa Kombe la Mapinduzi na kupewa zawadi ya laki tano na NIC Tanzania, kazi yao inayofuata ni dhidi ya Yosso Boys,Januari 8. Alipewa zawadi hiyo baada ya kuchaguliwa kuwa mchezaji bora katika mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Amaan. Ilikuwa ni…
MABINGWA watetezi wa Kombe la Mapinduzi, Yanga leo wanakazi ya kusaka ushindi mbele ya KMKM mchezo unaotarajiwa kuchezwa saa 10:15 jioni. Ni Uwanja wa Amaan mchezo huo unatarajiwa kuchezwa mbele ya mashabiki wa timu hiyo ambao wamekuwa wakijitokeza kwa wingi kushuhudia burudani. Mchezo wa kwanza wa Yanga ilikuwa mbele ya Taifa Jang’ombe na iliweza kuibuka…
PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo wa Kombe la Mapinduzi dhidi ya Mlandege. Leo saa 2:15 usiku Simba itakuwa na kazi ya kusaka ushindi mbele ya Mlandege mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Amaan. Pablo amesema kuwa wachezaji wanajua majukumu yao na wapo tayari kwa ajili…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa
JOTO la mechi ya Watani wa Jadi kwa upande wa soka la wanawake limezidi kutanda ambapo Yanga Princess watakuwa wenyeji wa Simba Queens katika mchezo utakaopigwa keshokutwa Jumamosi kwenye Dimba la Uhuru, Dar. Kuelekea mchezo huo wa raundi ya nne kunako Ligi Kuu ya Wanawake, Kocha Mkuu wa Simba Queens, Sebastian Nkoma ametamba kuendeleza rekodi…
HITIMANA Thiery amesaini dili la mwaka mmoja kuinoa Klabu ya KMC inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara. Kocha huyo hivi karibuni alisitisha mkataba wake na Klabu ya Simba ambayo inanolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco. Alijiunga na Simba kwa ajili ya mashindano ya kimataifa kwa kuwa aliyekuwa kocha wa wakati huo Didier Gomes hakuwa na vigezo…
OFISA Habari wa Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru, ameweka wazi juu ya maandalizi yao kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu Shooting utakaochezwa Januari 14, mwaka huu kwenye Uwanja wa Mabati, Pwani. Mtibwa Sugar ikiwa na kumbukizi nzuri ya kutoka kuichapa Costal Union 1-0, inashika nafasi ya 13 kwenye msimamo wa Ligi Kuu…
Mwaka 2022 unaanza na habari njema kwa wateja wa DStv! Kuanzia tarehe 5 Januari 2022, DStv itaanza promosheni yake kabambe ijulikanayo kama ‘Panda Tukupandishe’ ambapo wateja wa DStv watapatiwa vifurushi vya juu ili kufurahia zaidi burudani katika kipindi hiki cha mwanzo wa mwaka. Promosheni hii itadumu kwa miezi mitatu na ni kwa wateja wa…
HAJI Manara Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa hajui jambo lolote kuhusu Ofisa Habari mpya wa Simba, Ahmed Ally. Manara mwaka jana alisepa kwenye majukumu yake ndani ya Simba kutokana na mvutano uliokuwa ndani ya timu yake hiyo ya zamani ambayo aliwahi kusema kwamba anaipenda tangu akiwa mgogo. Kwa sasa Manara anatimiza majukumu yake ndani…
MOSES Phiri, mshambuliaji wa Zanaco FC ya Zambia anatajwa kuzichonganisha timu kongwe Bongo, Simba na Yanga ambazo zote zinatajwa kuisaka saini yake. Nyota huyo anatajwa kwamba amezungumza na mabosi wa Simba ambao wanahitaji huduma yake ila kabla hajamwaga wino na Yanga nao wanatajwa kubisha hodi. Mambo yamebadilika kwa sasa na ushindani wa kuisaka saini…
ILIKUWA ni Desemba 16 baada ya dirisha dogo la usajili kufunguliwa na sasa ni Januari 6 mambo yanazidi kwenda kasi huku vurugu za usajili zikiendelea. Ule usemi wa mwenye kisu kikali atakula nyama anayopenda inaendelea kwa sasa lakini ni lazima mipango iwe makini kwa kila timu. Iwe ni kwa timu ambazo zinashiriki Ligi Kuu Bara,…
KIUNGO Mshambuliaji Dennis Nkane ingizo jipya ndani ya Yanga ameweka wazi kuwa muda utaongea na amefurahi kuweza kufunga bao la kwanza ndani ya kikosi hicho kwenye mchezo wa kwanza wa Kombe la Mapinduzi dhidi ya Taifa Jang’ombe. Yanga ilishinda mabao 2-0 katika mchezo uliochezwa Januari 5. Nkane ameibuka Yanga akitokea Biashara United.
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa mpango wa usajili upo na anahitaji kumpata mbadala wa Kibwana Shomari. Pendekezo lake ni kuwapata wazawa wenye vipaji ili waweze kukomaa zaidi kwa kuwa amewaona wengi na wanauwezo mkubwa wa kufanya mambo mazuri kwa ajili ya mashabiki na timu kiujumla.
STAA wa Klabu ya Chelsea inayoshiriki Ligi Kuu England, Romelu Lukaku amejitokeza hadharani na kuomba radhi kwa mashabiki wa timu hiyo pamoja na kocha wake. Nyota huyo hivi karibuni alitibua hali ya hewa kwa kuwa aliweka wazi kwamba hafurahishiwa na maisha ndani ya timu hiyo na hakuwa na furaha kabisa. Lukaku alizua taharuki alipokuwa akifanya…