
KOCHA AZAM FC ATOA NENO HILI LA MATUMAINI
ABDI Hamid Moallin amesema kuwa mashabiki wa Azam FC watajivunia kitu kizuri na bora kutoka kwake baada ya kukabidhiwa rasmi timu hiyo iliyo nafasi ya nne kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara na pointi zake 21. Moallin amesaini dili la miaka mitatu Jana Januari 25 ambapo awali alikuwa ni Kaimu Kocha Mkuu baada ya…