Home Uncategorized AZAM WATANGAZA ABDI KUWA KOCHA MKUU

AZAM WATANGAZA ABDI KUWA KOCHA MKUU

Klabu ya soka ya Azam imemtangaza Abdi Hamid Moallin kuwa kocha mkuu wa kikosi hicho kwa mkataba wa miaka mitatu akirithi mikoba ya George Lwandamina.

Awali Moallin aliletwa kushika nafasi ya Mkurugenzi wa Ufundi wa Maendeleo ya Soka la Vijana.

“Azam FC ni klabu kubwa, na nililiona hili siku ya kwanza tu nilipofika hapa, nina amini katika klabu hii, nina amini katika uwezo wa klabu hii, klabu hii ina nafasi ya kufanya makubwa,”- Abdihamid Moallin, Kocha Mkuu Azam FC

Previous articleNYOTA MAN UNITED AIBUKIA SEVILLA
Next articleSIMBA YATUA BUKOBA KIBOSI, KUKIPIGA NA KAGERA KESHO!