POLISI TANZANIA YAWAPIGA MKWARA MABINGWA
UONGOZI wa Polisi Tanzania umeweka wazi kuwa kuelekea kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba, Oktoba 27 wataendelea pale ambapo wameishia kwa kucheza pira chukuchuku ili waweze kusepa na pointi tatu muhimu. Vinara hao wa Ligi Kuu Bara wakiwa na pointi tisa kibindoni baada ya kucheza mechi tatu na kutupia mabao matano…