RATIBA YA MECHI ZILIZO KATIKA KALENDA YA FIFA ZITAPIGWA KWA MKAPA
HIZI hapa mechi za kirafiki zitapigwa Uwanja wa Mkapa zipo kwenye kalenda ya FIFA Tanzania v Central Africa Republic, Machi 23,2022 saa 1:00 usiku. Central Africa Republic v Sudan, Machi 26,2022 saa 10:00 jioni. Tanzania v Botswana, Machi 26,2022 saa 1:00 usiku. Tanzania v Sudan,Machi 29,saa 1:00 usiku. Kwa sasa wachezaji wa Timu ya Taifa…