MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumamosi
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumamosi
BAADA ya kuwasili leo Benin kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wao wa Kombe la Shirikisho dhidi ya ASEC Mimosas, kikosi cha Simba kimeanza mazoezi. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Machi 20,2022 ni wa hatua ya makundi, Simba ikiwa na pointi 7 huku ASEC 6 ndani ya kundi D. Mchezo huo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa…
UONGOZI wa KMC umeweka wazi kwamba hakuna kitakachowazuia kupata matokeo mbele ya Yanga katika mchezo wao wa ligi unaoatarajiwa kuchezwa Machi 19, Uwanja wa Mkapa. Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa KMC, Christina Mwagala amesema kuwa hakuna kitakachowazuia kupata matokeo mbele ya Yanga. Christina amebainisha kwamba kupoteza mchezo wao mbele ya Coastal Union kumewapa…
NJE ya uwanja, tayari Kocha Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nasreddine Nabi amewamaliza wapinzani wake, KMC wenye maskani yao Kinondoni, Dar es Salaam. Timu hizo zinatarajiwa kuvaana kesho Jumamosi saa 1:00 usiku kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Bara raundi ya 18. Katika mchezo huo, Yanga itaingia uwanjani ikitaka kuendeleza rekodi…
BAADA ya kupata pointi tatu za nyumbani, uongozi wa Simba umeibuka na kumtaja kiungo wao mkabaji Jonas Mkude ndiye aliyekuwa kikwazo kwa wapinzani wao RS Berkane ya nchini Morocco. Simba ilifanikiwa kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Berkane katika mchezo wa nne wa Kundi D, uliopigwa wiki iliyopita kwenye Uwanja wa Mkapa. Bao la…
CEDRICK Kaze, Kocha Msaidizi wa Yanga amesema kuwa wanajua kwamba mchezo wao dhidi ya KMC hautakuwa rahisi kesho Uwanja wa Mkapa Jumamosi huku baadhi ya wachezaji wakiwa wameanza kurejea. Ikiwa nafasi ya kwanza na pointi 45 inakutana na KMC iliyo nafasi ya 7 na pointi 22 zote zikiwa zimecheza mechi 17. Kaze amesema:-“Chico ushindi, Farid…
FRANK Lampard, Kocha Mkuu wa Everton amesema kuwa amevunjika mkono wakati wa kushangilia bao la ushindi timu yake ilipokuwa ikicheza dhidi ya Newcastle. Mchezo huo wa Ligi Kuu England ulichezwa Machi 17 na ubao wa Uwanja wa Goodison Park ulisoma Everton 1-0 Newcastle United. Bao la ushindi lilipachikwa na Alex Iwobi dakika ya 90+9 ikiwa…
TUMEONA tayari orodha ya wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kwa sasa imewekwa hadharani ikiwa ni kwa ajili ya maandalizi ya mechi za kimataifa zilizo kwenye Kalenda ya Fifa. Hili ni jambo kubwa kwa wachezaji kuweza kujiona wakiwa wametajwa kwenye orodha kwa ajili ya kuipeperusha bendera ya Tanzania. Ni fahari na inapendeza…
UONGOZI wa Yanga pamoja na wachezaji wa timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi Machi 17 waliweza kutoa msaada katika Hospital ya Ocean Road ikiwa ni kwa ajili ya kumbukizi ya mwaka mmoja tanfu atangulie mbele za hakai Rais wa Awamu ya 5, John Pombe Magufuli.
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye mashindano ya kimataifa Simba leo Machi 18 wamekwea pipa kuwafuata wapinzani wao RS Berkane kwa ajili ya mchezo wao wa Kombe la Shirikisho. Ni leo alfajiri kimeanza safari kwa ajili ya kwenda Benin kuikabili ASEC Mimosas ikiwa ni mchezo wa marudiano ambao unatarajiwa kuchezwa Jumapili, Machi 20,2022. Simba itafikia Hotel ya…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa
Msimu wa 2021/22 unaendelea kushika kasi. Wikiendi hii ni EPL, LaLiga, Ligue 1, FA Cup na Copa Diego Maradona kutimua vumbi viwanjani. Hakika, zinazopata kashkash ni nyasi, Meridianbet tunakupa mipango tu… Wolverhampton Wanderers watakua uwanjani kuwaalika Leeds United katika muendeleazo wa EPL ijumaa hii. Kimahesabu, huu ndio ule wakati wakusema “kila mtu ashinde mechi zake”…
IMEELEZWA kuwa kesho Ijumaa wawakilishi wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho, Simba wanatarajia kukwea pipa kueleka nchini Benini kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wao dhidi ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Jumapili ya Machi 20,2022 ukiwa ni mchezo wa tano kwenye hatua ya makundi na unatarajiwa kuchezwa nchini Benin. Kwenye…
VIJANA wa Jurgen Klopp wa Liverpool walizima ndoto za vijana wa Mikel Arteta wa Arsenal kuvuna pointi katika mchezo wa Ligi Kuu England. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Emirates uliasoma Arsenal 0-2 Liverpool mbele ya mashabiki 59,968. Diogo Jota kipindi cha pili dk 54 alijaza kimiani na bao la pili lilijazwa kimiani…
CEDRICK Mkurugenzi wa Taasisi ya Voice Of Changes Tanzania ambayo ni Taasisi isiyo ya Kiserikali inayoleta fikira chanya imebainisha kwamba kuna mpango ulioandaliwa kwa muda kwa kushirikiana na Chama cha Mpira Dar, (DRFA) wameandaa mchezo maalumu ambao utawakutanisha wachezaji wa kigeni dhidi ya wale wa ndani Uwanja wa Mkapa mara baada ya ligi kumalizika na…
UONGOZI wa Yanga umebainisha kwamba utaenzi kwa vitendo mwaka mmoja wa kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati John Pombe Magufuli. Klabu ya Yanga imekuwa na utamaduni wa kutoa kwa jamii ambapo wiki iliyopita ilicheza mechi ya hisani kwa ajili ya kuchangia Taasisi ya Ally Kimara na…
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga ametaja kiasi ambacho walikipata kwenye mchezo wa hisani ambao ulichezwa Uwanja wa Azam Complex na ubao ulisoma Yanga 1-1 Timu ya Taifa ya Somalia.