YANGA WAPANIA KUBEBA UBINGWA,MSAKO WAO UPO HIVI
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa hesabu zao ni kuweza kupata pointi tatu kwenye mechi zinazofuata za ligi ikiwa ni pamoja na mechi ijayo dhidi ya KMC inayotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Injinia Hersi Said amefichua siri mbili ambazo wanazitumia kusaka ubingwa msimu huu waliodhamiria huku akibainisha kuwa ni lazima wabebe taji la Ligi Kuu…