
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu lipo mtaani nakala yake ni 800
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu lipo mtaani nakala yake ni 800
ABDI Hamid Moallin amesema kuwa mashabiki wa Azam FC watajivunia kitu kizuri na bora kutoka kwake baada ya kukabidhiwa rasmi timu hiyo iliyo nafasi ya nne kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara na pointi zake 21. Moallin amesaini dili la miaka mitatu Jana Januari 25 ambapo awali alikuwa ni Kaimu Kocha Mkuu baada ya…
UWANJA wa Kaitaba leo Januari 26 mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Kagera Sugar inayonolewa na Kocha Mkuu Francis Baraza unatarajiwa kuchezwa dhidi ya Simba. Simba inanolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco ambaye ameweka wazi kwamba anahitaji pointi tatu muhimu. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa saa 10:00 jioni Uwanja wa Kaitaba,Kagera. Kwenye msimamo Kagera Sugar…
BAADA ya Shirikisho la Ngumi za Kulipwa Duniani (WBF), kuwavua mikanda yao ya ubingwa wa Intercontinetal, Hassan Mwakinyo na Ibrahim Class, hatimaye bondia Hassan Mwakinyo ameibuka na kuvunja ukimya kwa kusema kuwa yeye na uongozi wake haujui chochote zaidi ya kudai kuonewa wivu. Mwakinyo ametoa kauli hiyo kufuatia WBF kuwavua mkanda ya ubingwa huo, kwa kuzingatia kanuni inayotamka kuwa bondia akishindwa kutetea ubingwa wake ndani ya miezi sita tangu aupate, basi atavuliwa. Rais wa…
WACHEZAJI wa timu ya taifa ya Nigeria, Maduka Okoye ambaye ni golikipa na kiungo Alex Iwobi inaelezwa kuwa wametishiwa kuuwawa baada ya timu yao ya taifa kuondolewa kwenye mashindano na Tunisia siku ya Jumapili. Kutokana na vitisho hivyo golikipa wa timu ya taifa ya Nigeria, Okoye alifunga sehemu ya wafuasi wake kuweza kuacha ujumbe kwenye…
PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kesho Januari 26 watacheza kwenye uwanja ambao wanaweza kucheza kutokana na ubora wa uwanja huo. Pablo amekuwa kwenye mwendo mgumu na kikosi cha Simba ndani ya dakika 180 katika viwanja vya ugenini ambapo hajaambulia ushindi zaidi ya sare na safu yake ya ushambuliaji haijafunga bao. Ilikuwa ni…
BEKI wa Mtibwa Sugar, Abdi Banda amewaomba radhi wadau wa soka nchini Tanzania kufuatia kauli aliyoitoa dhidi ya wachezaji wa Simba. Banda alitoa kauli ya kuwakejeli kwa wachezaji wa Simba, baada ya mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa Uwanja wa Manungu Complex Jumamosi Januari 22 na timu hizo kwenda sare ya 0-0. Beki huyo ambaye amewahi kucheza soka…
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa ujio wa kiungo mshambuliaji,Mkongomani, Chico Ushindi, umeongeza ubora na ushindani wa namba katika kikosi chake. Nabi amesema kuwa licha ya kuwa na nafasi ya kumtumia Fei Toto, lakini yupo Chico ambaye anamudu kucheza nafasi hiyo namba kumi. Nabi amesema kuwa anaamini uwezo mkubwa alionao Chico kutokana na kumfahamu baada ya kumfuatilia…
Gari iliyokuwa imebeba mashabiki wa klabu ya Simba SC wa ‘tawi la Wekundu wa Chalinze’ kutoka Kahama kwenda mkoani Kagera imepata ajali katika kijiji cha mwendakulima kwenye hifadhi ya serikali ya msitu wa mkweni. Mashabiki hao walikua wanaenda kushudia mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Simba SC dhidi ya Kagera Sugar utakaopigwa hapo…
Kikosi cha Simba SC tayari kipo mkoani Kagera kwaajili ya kuvaana na Kagera Sugar kwenye mtanange wa NBC Premier League hapo kesho Jumatano dimbani Kaitaba mjini Bukoba.
Klabu ya soka ya Azam imemtangaza Abdi Hamid Moallin kuwa kocha mkuu wa kikosi hicho kwa mkataba wa miaka mitatu akirithi mikoba ya George Lwandamina. Awali Moallin aliletwa kushika nafasi ya Mkurugenzi wa Ufundi wa Maendeleo ya Soka la Vijana. “Azam FC ni klabu kubwa, na nililiona hili siku ya kwanza tu nilipofika hapa, nina…
KLABU ya Sevilla ya Hispania imefikia makubaliano ya kumsajili kwa mkopo winga wa Manchester United na timu ya taifa ya Ufaransa Antony Martial. Nyota huyo amekosa nafasi kwenye kikosi cha kwanza cha United na amekuwa akishinikiza kuondoka ndani ya miamba hiyo. Sevilla wamekubali kulipa mshahara wote wa mchezaji huyo hadi mwezi Juni na atasafiri leo…
KUENDELEA kusugua benchi kwa mlinda mlango namba moja wa Yanga, Djigui Diarra, akiwa na kikosi cha timu ya Taifa ya Mali inayoshiriki mashindano ya Afcon huko Cameroon, kumemuibua kocha wa makipa wa Yanga, Mbrazili, Milton Nievov ambaye ameweka wazi kuwa huenda ikaleta athari katika kiwango chake. Diarra hajaanza katika mchezo wowote wa Mali katika hatua…
KOCHA Mkuu wa Yanga, raia wa Tunisia, Nasreddine Nabi, amesema kuwa ujio wa kiungo mshambuliaji,Mkongomani, Chico Ushindi, umeongeza ubora na ushindani wa namba katika kikosi chake. Kauli hiyo aliitoa siku moja kabla ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Polisi Tanzania uliotarajiwa kupigwa jana saakumi kamili kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha. Kabla…
RASMI uongozi wa Yanga umethibitisha kwamba kiungo Tonombe Mukoko hatakuwa sehemu ya kikosi hicho kwa msimu wa 2021/22 kwenye mechi ambazo zimebaki. Kiungo huyo anakwenda kujiunga na kikosi cha TP Mazembe kwa ajili ya kuendelea kufanya kazi ya mpira ambayo ameichagua. Sababu kubwa ya kiungo huyo kuondoka ni makubaliano ya pande zote mbili kati ya…
TIMU ya taifa ya Tunisia Carthage Eagles imefanikiwa kuwa timu ya pili kukata tiketi ya kuingia katika robo fainali ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika, (Afcon 2021) baada ya kuibwaga Nigeria-Super Eagles kwa bao 1-0 katika uwanja wa Roumde Adjia mjini Garoua. Tunisia waliandika bao lao la kwanza na la ushindi kupitia kwa mchezaji Youssef Msakni anayechezea klabu ya…
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba kwa sasa wanapita katika kipindi kigumu kutokana na kuwa kwenye mwendo wa kuchechemea katika vita ya kusaka pointi tatu. Ndani ya Januari kwenye mechi za ugenini wamekwama kusepa na ushindi zaidi ya kuambulia sare moja na kichapo kimoja. Mechi mbili ambazo ni dakika 180 walikuwa kwenye msako wa…