SIMBA YAIVUTIA KASI DAR CITY

KIKOSI cha Simba leo kimefanya mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Dar City. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Januari 30 na mshindi atasonga hatua ya 16 bora Katika mchezo wa hatua ya 32 bora yule atakayepoteza mchezo safari yake inafika ukingoni jumlajumla. Ikumbukwe kwamba Simba ni…

Read More

SIMBA QUEENS KAZINI LEO DHIDI YA MLANDIZI QUEENS

LEO Januari 28,2022 Simba Queens inakibarua cha kusaka ushindi mbele ya Mlandizi Queens. Ni mchezo wa Ligi ya Wanawake ambayo inaendelea na unatarajiwa kuchezwa saa 10:00 jioni. Simba Queens ni mabingwa watetezi wanakutana na Mlandizi Queens ambayo itawakosa baadhi ya nyota wao ambao wamejiunga na timu ya taifa U 20. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa katika…

Read More

HAWA HAPA WAKALI WA KUCHEKA NA NYAVU SIMBA

LICHA ya Klabu ya Simba kuanza vibaya msimu huu wa NBC Premier League, mshambuliaji wa klabu hiyo Meddie Kagere ameendelea kuweka rekodi zake ngumu ndani ya kikosi hicho kwa kufunga magoli mengi msimu huu. Klabu ya Simba mpaka sasa wamecheza jumla ya michezo 13 ya NBC Premier League , katika michezo hiyo Meddie Kagere amefunga…

Read More

MABINGWA WATETEZI WAREJEA DAR

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba leo Januari 27,2022 wamerejea salama Dar es Salaam. Timu ya Simba chini ya Kocha Mkuu, Pablo Franco raia wa Hispani ilikuwa Kagera ambapo ilikuwa na mchezo wa ligi uliochezwa jana Januari 26. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Kaitaba ulisoma Kagera Sugar 1-0 Simba na…

Read More

WATATU WASHINDA TIKETI ZA AFCON NA CRDB

MKURUGENZI wa Wateja wadogo na wa kati wa Benki ya CRDB, Boma Raballa (wa pili kushoto) leo Januari 27,2022 amekabidhi mfano wa tiketi ya kushuhudia mechi ya fainali ya Mashindano ya AFCON nchini Cameroon kwa washindi watatu. Hao ni wa washindi wa droo ya shinda na TemboCard Viza, ikiwa ni pamoja na Njama Ayoub Matumbo,Mwizegwa…

Read More

YANGA WAMEPANIA, GSM WAMUITA MAYELE

YANGA kweli safari hii imepania kuhakikisha kuwa inawalinda mastaa wake hiyo ni baada ya uongozi wa klabu hiyo chini ya wadhamini wao, GSM kumuita fasta mshambuliaji hatari wa timu hiyo, Fiston Mayele kwa ajili ya mazungumzo. Fiston Mayele ndani ya Yanga kwa sasa ndiye kinara wa upachikaji mabao akiwa na jumla ya mabao 6 huku…

Read More

MASTAA YANGA WAKOMBA MABILIONI YA BONASI

USHINDI wa 11 walioupata Yanga, umewapa wachezaji wa timu hiyo bonasi ya Sh 265Mil katika michezo ya Ligi Kuu Bara tangu kuanza kwa msimu huu. Hiyo ikiwa ni siku chache tangu watoke kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Polisi Tanzania, mchezo uliopigwa wikiendi iliyopita kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha. Ushindi huo umewafanya…

Read More

SIMBA YANYOOSHWA UWANJA WA KAITABA

Uwanja wa Kaitaba dakika 90 zimekamilika mbinu ya Pablo Franco imekwama mbele ya Kagera Sugar. Ni Hamis Kiiza dakika ya 70 aliwatungua Simba baada ya safu ya ulinzi kufanya makosa katika kuokoa shambulizi la kushtukiza. Hakuna sababu nyingine kwa Franco ambaye alikuwa kwenye uwanja mzuri wa kapeti wa Kaitaba kakwama kushinda ugenini. Simba inabaki na…

Read More

KIKOSI CHA KAGERA SUGAR V SIMBA

KAGERA Sugar leo inashuka Uwanja wa Kaitaba kusaka ushindi mbele ya Simba ambao ni wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Hiki hapa kikosi cha kwanza:- Said Kipao Dick Mhilu David Luhende Abdalah Mfuko Nassoro Kapama Yusufu Dunia Ally Ramadhan Jackson Kibirige Hassan Mwaterema Ally Nassoro Meshack Abraham

Read More

BOCCO,KAGERE WAANZIA BENCHI DHIDI YA KAGERA SUGAR

LEO Januari 26, Uwanja wa Kaiataba unatarajiwa kuchezwa mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Kagera Sugar dhidi ya Simba ambapo washambuliaji wote leo wamewekwa benchi na Kocha Mkuu, Pablo Franco. John Bocco na Meddie Kagere pamoja na Yusuf Mhilu hawa wote wameanza kusoma mchezo nje na ndani ni viungo na mabeki wameanza. Hiki hapa…

Read More

MTIBWA SUGAR:TUNA BAJETI YA MIAKA 40

THOBIAS Kifaru,Ofisa Habari mwenye uwezo mkubwa wa kuzungumza na nidhamu kubwa katika kazi yake ameweka wazi kwamba timu hiyo ina bajeti ya kujiendesha kwa muda wa miaka 40. Mtibwa Sugar kwa sasa inatumia Uwanja wa Manungu ambao ulikuwa umefungiwa kwa muda ili kuweza kufanyiwa maboresho na kwa sasa tayari umeruhisiwa kutumika. Mchezo uliopita Mtibwa Sugar…

Read More

SIMBA INA MATUMAINI NA KUTWAA UBINGWA

MTENDAJI wa Klabu ya Simba, Barbara Gonzalez, amesisitiza kuwa ishu ya nani atakuwa bingwa wa ligi kuu msimu huu, ipo wazi kwamba Simba ndiyo watachukua tena kombe. Barbara amefunguka kuwa, msimu huu wanakutana na changamoto nyingi ambazo anaamini zinatengenezwa makusudi ili kuwakwamisha Simba, ila wanataka kuonyesha watu kuwa Simba ni timu kubwa haswaambayo ikitaka jambo lake lazima lifanikiwe. Akizungumzia ugumu wa ligi msimu huu, Barbara alikiri kuwepo kwa ushindani zaidi…

Read More

UBABE KWENYE KOMBE LA SHIRIKISHO UWEKWE KANDO

MATUKIO ambayo yamekuwa yakitokea kwenye mechi uwanjani yapo yanayokera na yanayofurahisha lakini muhimu kila mmoja kuwa makini katika kutekeleza majukumu yake. Tumeona kwamba kuna wachezaji ambao wamekuwa wakitumia nguvu kubwa na hii inatokana na hasira lakini kwa namna yoyote ile ni lazima kila mchezaji kuwa mlinzi wa mchezaji mwenzake. Kwa timu ambayo itakosa kupata matokeo…

Read More