KAGERA Sugar leo inashuka Uwanja wa Kaitaba kusaka ushindi mbele ya Simba ambao ni wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
Hiki hapa kikosi cha kwanza:-
Said Kipao
Dick Mhilu
David Luhende
Abdalah Mfuko
Nassoro Kapama
Yusufu Dunia
Ally Ramadhan
Jackson Kibirige
Hassan Mwaterema
Ally Nassoro
Meshack Abraham