
MISRI YATINGA NUSU FAINALI AFCON 2021
LICHA ya kuwa nyuma jana mbele ya Morocco kwa bao lililofungwa dakika ya 6 na Soufiane Boufal Misri iliweza kupindua meza na kuibuka na ushindi. Baada ya dakika 90 kukamilika Misri iliweza kushinda mabao 2-1 na kutinga hatua ya nusu fainali ya Kombe Afcon 2021. Ni Mohamed Salah aliweza kusawazisha dakika ya 56 kisha mchezo…