Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara Novemba 8,2025

LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea ikiwa leo Novemba 8,2025 Jumamosi ya kazikazi kwa wababe kushuka uwanjani kusaka ushindi. Kutakuwa na mechi kubwa mbili katika viwanja tofauti ni Dar na Mwanza ambao watakuwa wanashuhudia mechi za ushindani. Saa 10:00 jioni Pamba Jiji vs Singida Black Stars, itachezwa Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Kwenye msimamo wa ligi,…

Read More

JKT Tanzania vs Simba SC, pointi tatu kwenye msako

JKT Tanzania vs Simba SC ni mchezo wa ligi unaofuata ikiwa ni msimu mpya wa 2025/26 kwa wababe wawili kusaka pointi tatu muhimu. Novemba 8,2025 kazi kubwa itafanyika kwa timu zote mbili kusaka pointi tatu Uwanja wa Mej Jenerali Isahmuyo. Katika mchezo uliopita msimu wa 2024/25, Simba SC ikiwa ugenini ilivuna pointi kwa ushindi wa…

Read More

Clement Mzize kuikosa Yanga SC vs KMC FC

CLEMENT Mzize mshambuliaji wa Yanga SC ataukosa mchezo ujao wa ligi dhidi ya KMC FC unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa KMC Complex. Nyota huyo anatarajiwa kuwa nje kwa muda wa wiki kati ya 8 mpaka 10 baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti ambalo lilikuwa linamsumbua. Kutokana na hali ambayo anaendelea nayo kwa sasa ni wazi kwamba…

Read More

Matokeo Darasa la Saba 2025 Yatangazwa Yapo HAPA, Asilimia 81.8 ya Watahiniwa Wamefaulu

Dar es Salaam, Novemba 5, 2025 — Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Prof. Said A. Mohamed, ametangaza rasmi matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (MTEM) 2025 katika hafla iliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam. Taarifa hiyo inaonesha kuwa kati ya watahiniwa 1,146,164 waliojihusisha na mtihani huo, watahiniwa 937,581 sawa…

Read More