SportsRATIBA YA KOMBE LA MAPINDUZI 2024 Saleh2 years ago2 years ago01 mins MLANDEGE ambao ni mabingwa watetezi wa Mapinduzi 2024 wameendelea kuwa kwenye zali baada ya kutinga hatua ya robo fainali. Kwa Simba, Yanga, Azam FC na Singida Fountain Gate nazo zmefanikiwa kutinga hatua hiyo ambapo kwa 2023 Simba iliaga mashindano mapema kabisa. Ratiba ipo namna hii:- KVZ FC Vs Mlandege FC, Januari 7, saa 10:15 jioni Yanga SC Vs APR FC, Januari 7, saa 2:15 usiku Azam FC Vs Singida Fountain Gate, Januari 8, saa 10:15 jioni Simba SC Vs Jamhuri Jamhuri SC, Januari 8, saa 2:15 usiku Post navigation Previous: UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI, JANUARI 06, 2024Next: ANAKUJA MSHAMBULIAJI HUYU WA KAZI YANGA
Soccer Football - International Friendly - Spain v Brazil - Santiago Bernabeu, Madrid, Spain - March 26, 2024 Spain's Rodri scores their third goal from the penalty spot REUTERS/Violeta Santos Moura Je Fainali ya Kombe la Dunia 2026 Itakuwa Brazil vs Hispania? Saleh1 day ago 0