Polisi yataja sababu ya kumkamata Niffer

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Jumanne Muliro amethibitisha jeshi hilo kumkamata mfanyabiashara wa mtandaoni Jenifer Jovin maarufu Niffer. Kamanda Muliro ametoa kauli hiyo Jumatatu Oktoba 27,2025 baada ya kusambaa taarifa kwenye mitandao ya kijamii, kuwa mfanyabiashara huyo ametekwa na watu wasiojulikana Sinza jijini Dar es Salaam alipokuwa dukani kwake. “Jeshi la…

Read More

Yanga SC vs Mtibwa Sugar, Clement Mzize out

Yanga SC vs Mtibwa Sugar mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara unatarajiwa kuchezwa Oktoba 28,2025 Uwanja wa KMC Complex. Huo ni mchezo wa ligi ambapo Yanga SC imetoka kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Silver Striker katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Kuelekea mchezo huo mchezaji Clement Mzize ambaye ni mshambuliaji atakosekana kwa…

Read More

Meridianbet Kuimarisha Burudani Kwa Wabashiri Kupitia Gates of Halloween

Kampuni inayoongoza michezo ya kubashiri mtandaoni nchini, Meridianbet, imezindua rasmi mchezo mpya wa kasino unaoitwa Gates of Halloween, ambao umeleta upepo wa mapinduzi katika ulimwengu wa burudani mtandaoni. Huu si mchezo tu wa ilimradi bali ni mlango wa kuingia katika dunia ya maajabu, mapepo, bahati, na ushindi wa kutisha. Gates of Halloween ni mchanganyiko kamili…

Read More

FC Porto, Atletico Madrid, Fenerbahce na Atalanta Zawasha Moto Meridianbet Leo!

Jumatatu ya ushindi imekufikia na wakali wa ubashiri Meridianbet leo, baada ya wikendi kumalizika sasa ni zamu ya kuchukua maokoto yako hapa. Ingia kwenye akaunti yako tengeneza jamvi lako na dau lako lolote uibuke bingwa leo. Ureno, PRIMEIRA LIGA itaendelea kwa mechi moja kali ambapo FC Porto atakuwa ugenini kupepetana dhidi ya Moreirense. Mechi ya…

Read More

Taarifa, Odds Kubwa na Fursa za Ushindi Zinakungoja Kwenye Meridianbet Sport Portal

Wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet wankuuliza je unajua kuhusu Meridianbet Sport Portal? Hili ni jukwaa kubwa kabisa ambalo kutokana na upana limekuja kwaajili ya kumrahisishia kazi mteja wa Meridianbet wakati wa kubashiri kwani hapa anapata taarifa zote za kimichezo na kasino kwa ujumla. Meridianbet Sport Portal ni kwaajili ya kumpa mteja wa Meridianbet uzoefu bora…

Read More

Kaa Mkao wa Kula Kujua Habari Zote za Michezo na Meridianbet Sport Portal

Wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet wankuuliza je unajua kuhusu Meridianbet Sport Portal? Hili ni jukwaa kubwa kabisa ambalo kutokana na upana limekuja kwaajili ya kumrahisishia kazi mteja wa Meridianbet wakati wa kubashiri kwani hapa anapata taarifa zote za kimichezo na kasino kwa ujumla. Meridianbet Sport Portal ni kwaajili ya kumpa mteja wa Meridianbet uzoefu bora…

Read More