Real Madrid na Liverpool Moto Uleule! Bashiri Mechi Kali za Wikiendi

Wakali wa ubashiri Tanzania wanakwambia kuwa Wikendi bila kubashiri na Meridianbet hainogi kabisa. Unajua ni kwanini?. Kwasasa mechi kibao zinatarajiwa kuendelea hivyo nafasi kubwa ya wewe kuondoka na mshindo ni kubwa pia. Jisajili na ubashiri sasa. BUNDESLIGA nayo itaendelea kwa michezo miwili, Freiburg atamleta kwake Eintracht Frankfurt ambao wametoka kupoteza mechi yao iliyopita, huku wenyeji…

Read More

Breaking: Romain Folz afukuzwa Yanga SC

Romain Folz aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga SC kwenye mechi saba rasmi amefukuzwa Oktoba 18,2025 kwenye nafasi hiyo. Mara baada ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Silver Strikers, Yanga SC wametoa taarifa kuhusu kuvunja mkataba na Folz. Mchezo wa leo akiwa benchi baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Bingu-Malawi umesoma…

Read More

FT: Live: Silver Strikers 1-0 Yanga SC

FT: Silver Strikers 1-0 Yanga SC Zimeongezwa dakika 5 Dakika 90 Pacome anafanya jaribio halileti matunda Dakika ya 89 Maxi Nzengeli Dakika ya 88 Doumbia anakosa nafasi akiwa ndani ya 18 Dakika ya 80 Diarra anaokoa hatari Dakika ya 78 Duke anaingia anatoka Aziz Goooooal Dakika ya 76 Silver wnapata goli Mpira ulianza kwa mlinda…

Read More

Ratiba ya mechi za kimataifa Simba SC, Yanga SC, SBS na Azam FC, muda na Azam TV

WIKIENDI itakuwa bize kutokana na kazi kubwa kwa wawakilishi wa Tanzania kwenye anga la kimataifa kusaka ushindi kwenye mechi ambazo watashuka uwanjani. Hapa tunakuletea ratiba za mechi hizo na muda utakaochezwa kwa saa za Afrika Mashariki namna hii:- Ligi ya Mabingwa Afrika Jumamosi, Yanga SC watakuwa Uwanja wa Bingu nchini Malawi dhidi ya Silver Striker,…

Read More

Meridianbet Watangaza Ujio Wa Imoon, Mtoa Huduma Mpya

Ili kuzidi kuendana na teknolojia ya michezo ya mtandaoni, wachezaji wanazidi kuwa na kiu ya michezo iliyo rahisi kueleweka, ya haraka, na yenye nafasi halisi ya ushindi. Hali hii imezifanya kampuni kubwa kujipambanua kwa ubunifu na kuleta huduma zinazozingatia mahitaji ya kisasa ya wateja wao. Katika kuendeleza dhamira hii, Meridianbet imefikiaa hatua muhimu kwa kulikaribisha…

Read More

Msafara wa Simba SC ndani ya Afrika Kusini

WAWAKILISHI wa Tanzania, Simba SC chini ya Meneja Mkuu Dimitar Pantev wanakibarua kuelekea mchezo ujao wa Ligi ya Mabingwa Afrika na mapema Oktoba 16 2025 walianza safari kuelekea Eswatini. Tayari Msafara wa kikosi cha Simba SC wenye wachezaji 22 umewasili salama Afrika Kusini ikiwa ni njia kwa ajili ya kuelekea Eswatini. Safari ya Simba SC…

Read More

Simba SC yatambulisha kocha mpya kuwanoa Camara, Yakoub

 Simba SC imemtambulisha kocha mpya ambaye atakuwa anawanoa makipa watimu hiyo kwa msimu wa 2025/26 kwenye mechi za ushindani. Anaitwa Vitomir Vutov ametambulishwa rasmi kuwa kocha wa timu hiyo yenye maskani yake Kariakoo mtaa wa Msimbazi. Ni Hussen Abel, Moussa Camara na Yakoub Suleiman haw ani makipa wa Simba SC watanolewa na mwalimu huyu mpya…

Read More

Romain Folz: Tunazidi kuimarika hatua kwa hatua

ROMAIN Folz, Kocha Mkuu wa Yanga SC amesema kuwa wanazidi kuimarika hatua kwa hatua kadri siku zinavyokwenda kutokana na maandalizi yanayofanyika. Kikosi cha Yanga SC kinatarajiwa kuondoka leo Oktoba 16 2025 kuelekea Malawi kwa maandalizi ya mwisho ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Silver Striker unaotarajiwa kuchezwa Oktoba 18 2025. Folz amebainisha…

Read More