Simba SC vs Nsingizini Hotspurs matokeo yafutwa mazima
Simba SC vs Nsingizini Hotspurs uongozi wa timu hiyo umebainisha kwamba utaingia uwanjani kama tmu ambayo haijafunga hivyo ni sawa na kusema matokeo yafutwa mazima ili kuongeza ushindani kwenye mchezo huo wa marudio unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC amesema kuwa kuelekea kwenye mchezo wa…