WALLACE KARIA APITISHWA TENA KUONGOZA TFF KWA ASILIMIA 100

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) wamempitisha kwa kishindo Rais wa sasa, Wallace Karia, baada ya kumpigia kura za ndiyo kwa asilimia 100. Karia alikuwa mgombea pekee wa nafasi ya urais, kufuatia wagombea wengine kuenguliwa na Kamati ya Uchaguzi kwa kushindwa kutimiza vigezo vya kikanuni. Kwa ushindi huo, Karia…

Read More

AZAM FC NA WAPYA WALIOTAMBULISHWA, KAMBI RWANDA

RASMI Azam FC imewatambulisha wachezaji wapya wawili ambao watakuwa chini ya Kocha Mkuu, Florent Ibenge ikiwa ni maandalizi kuelekea msimu mpya unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Ipo wazi kwamba Azam FC itapeperusha bendera ya Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Afrika ambapo itaanzia hatua za awali na mchezo wa kwanza unatarajiwa kuchezwa ugenini katika kusaka ushindi….

Read More

TAIFA STARS KAZINI TENA KWA MKAPA CHAN 2024

VINARA wa kundi B Tanzania kesho watakuwa kazini kwenye msako wa pointi tatu dhidi ya Afrika ya Kati mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Stars ina uhakika wa kucheza hatua ya robo fainali. Kwenye mechi tatu imekusanya pointi tisa ikipata ushindi kwenye mechi zote muhimu. Ilifungua pazia Agosti 2 2025 kwa ushindi wa mabao 2-0…

Read More

AZAM FC YAMALIZA KAMBI KARATU KWA KUTEMBELEA NGORONGORO

Leo Alhamisi, kikosi cha Azam FC kikiwa Karatu, mkoani Arusha, kimehitimisha kambi yake ya wiki mbili ya maandalizi ya msimu mpya kwa mtindo wa kipekee – kutembelea Hifadhi ya Ngorongoro. Ziara hiyo imekuwa sehemu ya kujivinjari na kuendeleza utalii wa ndani, ikiwapa wachezaji na benchi la ufundi nafasi ya kufurahia mandhari ya asili na urithi…

Read More

AZAM FC YAMPA BARAKA NINJU, SAFARI MPYA YAANZA YANGA

KLABU ya Azam Fc imefikia makubaliano na klabu ya Yanga kuhusu mchezaji, Nizar Abubakar Othman almaarufu Ninju ambaye Yanga Sc ilimtangaza kama mchezaji wake mpya mnamo Julai 14, 2025. Hatua hiyo imekuja baada ya sintofahamu iliyojitokeza hapo awali baada ya klabu ya Yanga kumtambulisha mchezaji huyo kama mchezaji wake mpya kabla ya Azam Fc kuibuka…

Read More

ONYESHA UJUZI WAKO NA SHINDA KILA MECHI NA BET BUILDER!

Hii ni kwa wasuka majamvi wote, kuelekea kuanza kwa msimu mpya wa ligi basi kaa tayari kulifanya jamvi lako kuwa la kusisimua zaidi. Meridianbet inakuleta Bet Builder, chaguo la kipekee linalokuwezesha kubadilisha maarifa yako ya michezo kuwa ushindi wa kweli.Sasa unaweza kuchanganya chaguo nyingi ndani ya mechi moja na kupata odds za kipekee ambazo zitakuletea…

Read More

MSHAHARA WA FEISAL SALUM UNATAJWA KUWA TISHIO

MSHAHARA wa kiungo wa Tanzania ambaye anacheza ndani ya kikosi cha Azam FC kinachotumia Uwanja wa Azam Complex kwa mechi za nyumbani unatajwa kuwa tishio kutokana na ukubwa wake na thamani ya kiungo huyo mzawa. Ilikuwa inatajwa kuwa Yanga SC na Simba SC zilikuwa kwenye hesabu za kuwania saini ya kiungo huyo. Simba SC walikuwa…

Read More

MERIDIANBET WASAIDIA MAMA NTILIE WA MWENGE

Katika dunia ya leo inayohitaji mshikamano wa kijamii na mshikamano wa kiuchumi, kampuni ya Meridianbet imeendelea kudhihirisha dhamira yake ya kweli ya kusaidia jamii kwa vitendo. Kwa mara nyingine tena, Meridianbet imejitokeza kuwa bega kwa bega na wanawake wa Kitanzania kupitia zoezi la ugawaji wa aprons kwa mama ntilie maeneo ya Mwenge. Meridianbet siku zote…

Read More