NBC Premier League inaendelea na leo Oktoba 28,2025 kutakuwa na mchezo mkali kwa wababe wawili kukutana Uwanja wa KMC Complex.
Ni Yanga SC vs Mtibwa Sugar ya Morogoro hapa tunakuletea baadhi ya matokeo walipokutana mechi zilizopita:-
13/05/2024 FT: Mtibwa Sugar 1-3 Yanga SC
16/12/2023 FT: Yanga SC 4-1 Mtibwa Sugar
31/12/2022 FT: Mtibwa Sugar 0-1 Yanga SC
13/09/2022 FT: Yanga SC 3-0 Mtibwa Sugar
29/06/2022 FT: Yanga SC 1-0 Mtibwa Sugar
23/02/2022 FT: Mtibwa Sugar 0-2 Yanga SC
20/02/2021 FT: Yanga SC 1-0 Mtibwa Sugar