
YANGA:HATUKUKURUPUKA KUFANYA USAJILI
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba usajili walioufanya ni wa viwango vikubwa jambo linalowapa matumaini yakufanya vizuri kwenye mashindano ambayo watacheza kwa kuwa hawakukurupuka. Miongoni mwa wachezaji ambao wamesajiliwa na Yanga ni pamoja na Chico Ushindi, Dennis Nkane,Salim Aboubakhari na Crispin Ngushi. Wachezaji hao wameanza kucheza mechi za ushindani isipokuwa kwa sasa Nkane bado yupo…