SOLKJAER AWAPONGEZA WACHEZAJI WAKE KWA USHINDI
OLE Gunnar Solskjaer, Kocha Mkuu wa Manchester United amewapongeza wachezaji wake kwa mbinu na uwezo walioonyesha katika mchezo wao wa Ligi Kuu England na kushinda mabao 3-0 mbele ya Tottenham wakiwa ugenini. Solskjaer aliwaongoza vijana wake katika mchezo huo mgumu wakiwa na kumbukizi mbaya ya kupokea kipigo cha udhalilishaji ambapo ni mabao 5-0 walifungwa…