SportsTIMU YA WANAWAKE KILIMANJARO KESHO INAANZA KAZI Saleh4 years ago01 mins TIMU ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Queens’kesho inatarajia kutupa kete yake ya kwanza mbele ya Sudan Kusini. Ni kwenye mchezo wa mashindano ya CECAFA wanawake,ambayo imeanza kutimua vumbi leo Juni,Mosi 2022 nchini Uganda. Pia Waamuzi wa Tanzania Florentina Zablon, Janeth Balama, Tatu Nuru nao pia wapo kwenye orodha ya waamuzi ambao watachezesha mechi hizo za ushindi. Waamuzi hao kazi yao wameanza kuifanya leo nchini Uganda, kwa kuweza kuchezesha mchezo kati ya Burundi na Djibouti. Post navigation Previous: JEMBE HILI LA KAZI NYIA NYEUPE KUTUA SIMBANext: MSHAMBULIAJI HUYU ATAJWA KUWAONDOA KAGERE NA MUGALU SIMBA
Soccer Football - International Friendly - Spain v Brazil - Santiago Bernabeu, Madrid, Spain - March 26, 2024 Spain's Rodri scores their third goal from the penalty spot REUTERS/Violeta Santos Moura Je Fainali ya Kombe la Dunia 2026 Itakuwa Brazil vs Hispania? Saleh1 day ago 0