SIMULIZI KUHUSU JAMAA ALIYEPOTEA KWA MUDA KISA SHILINGI

SIMULIZI ya kuhusu aliyepotea kwa muda usiojulikana kisa fedha:- Alhamisi moja kunako mwaka wa 2002, nilipokuwa nafanya kazi ya kuungaunga katika kampuni moja ambapo ilinilazimu kuamka mapema sana ili kuhakikisha kwamba nawahi stendi ambapo wafanyikazi walichakuliwa watakaopata kibarua siku ile. Siku yenyewe ilikucha kwa mbwembwe kwelikweli kiasi cha kuonekana yenye nyota njema.Katika harakati zangu za…

Read More

MWENDO WA AZAM FC BAADA YA MECHI 6

AZAM FC inayonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina baada ya kucheza mechi 6 za Ligi Kuu Bara imekusanya pointi 7 msimu wa 2021/22. Ipo nafasi ya 10 na imetupia mabao matano huku ikiwa imeruhusu mabao ya kufungwa 7. Haijawa kwenye mwendo mzuri kwa mechi hizi za mwanzo kwa kile ambacho kimeelezwa kuwa ni kushindwa kutumia…

Read More

MANE ATAKA MKWANJA KAMA WA SALAH

WINGA matata ndani ya kikosi cha Liverpool, Sadio Mane imeripotiwa kwamba anataka mshahara kama anaopewa mshambuliaji matata ndani ya kikosi hicho Mohamed Salah. Kiwango cha Mane msimu huu wa 2021/22 kimezidi kuwa imara akiwa ametupia mabao saba kwenye mechi 12 ambazo amecheza mpaka sasa ndani ya Ligi Kuu England. Mkwanja ambao anakuja kwa wiki Salah…

Read More

MAYELE HATARI YAKE NI KILA BAADA YA DAKIKA 399

  MSHAMBULIAJI Fiston Mayele raia wa DR Congo mali ya Yanga ambao ni vinara wa ligi wakiwa na pointi 16 baada ya kucheza mechi sita na kufunga jumla ya mabao 10 amehusika kwenye mabao matatu . Nyota huyo ambaye ni chaguo la kwanza kwa Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi amefunga mabao mawili na kutoa pasi moja…

Read More

WKILI MSOMO MORRISON ASHINDA RUFAA YAKE CAS

KIUNGO wa Simba, Bernard Morrison  imeelezzwa kuwa ameshinda kesi iliyopelekwa na Klabu ya Yanga katika Mahakama ya usuluhishi wa Michezo (CAS). Yanga walipeleka kesi hiyo CAS baada ya kutoridhishwa na maamuzi ya Kamati ya Haki na Maadili na Hadhi ya Wachezaji ambayo ilitoa hukumu kuwa mkataba wa Yanga na Morrison ulikuwa na mapungufu hivyo ikaruhusu…

Read More

REKODI MWANZO MWISHO LIGI KUU BARA

RAUNDI ya sita ilikuwa ni moto kila kona ambapo ulipigwa mpira mkubwa huku kila timu zikipambana kusepa na pointi tatu. Kwenye mechi nane jumla ya magoli yamefungwa 22 na mechi mbili zimetoa mabao mengi ilikuwa ni Ruvu Shooting 1-3 Simba na Mbeya City 3-1-dhidi ya Mtibwa Sugar jumla yamepatikana mabao manne Mechi ya mashuti mengi…

Read More

MKWANJA WA SPORTPESA JACPOT BONUS WATOLEWA NI MREFU KWELI

MKAZI wa Bukoba wilaya ya Muleba Juhudy Stewaty (21) ameibuka mshindi wa Jackpot Bonus baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13 na kujishindia kiasi cha shilingi 11,049,185. Akizungumzia ushindi wake Juhudy amesema “Ninafuraha kubwa sana kuibuka mshindi kwani kupitia pesa hii itanisaidia kwenye mambo mbalimbali. “Nilianza kucheza na SportPesa tangu mwaka 2018…

Read More

SIMULIZI YA ALIYEPONA UGONJWA ULIOKUWA UKIMSUMBUA

NAMNA alivyoweza kupona ugonjwa uliokuwa ukimsumbua Nilipoanza kuona dalili za kukosa kupata hewa ya kutosha kwenye mapafu yangu, nilidhani yakuwa ni homa ya kawaida ambayo ingeisha muda mfupi baadaye hivyo basi, sikuchukulia maanani kuenda hospitali kuweza kuangaliwa na madaktari na kuwezeshwa kupata matibabu. Mwezi mmoja baadaye, uchungu huo haukupungua bali uliongezeka kwa kiwango kikubwa, nilizidiwa…

Read More

MRITHI WA OLE ATAJWA KUWA ZIDANE

BAADA ya Manchester United kumfuta kazi Ole Gunnar Solskjaer jina la Zinadine Zidane linatajwa kuwa miongoni mwa makocha watakaorithi mikoba ya kuinoa timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu England. Solskjaer mchezo wake wa mwisho kukaa kwenye benchi akiwa ni kocha mkuu ilikuwa ni dhidi ya Watford na alishuhudia timu hiyo ikipoteza kwa kufungwa mabao 4-1 na…

Read More

MANULA REKODI YAKE YATIBULIWA

REKODI ya kipa namba moja wa Simba kuweza kucheza mechi nyingi bila kufungwa imetibuliwa na nyota wa Ruvu Shooting, Elias Maguli baada ya kumtungua walipokutana Uwanja wa CCM Kirumba wakati ubao uliposoma Ruvu Shooting 1-3 Simba. Manula alikuwa ni namba moja kwa makipa ambao hawajafungwa kwenye mechi nyingi za Ligi Kuu Bara ambapo alikuwa amecheza…

Read More

MESSI AFUNGA BAO LAKE LA KWANZA KWENYE LIGI

MSHAMBULIAJI wa kikosi cha PSG, Lionel Messi ameingia kwenye rekodi ya wale  waliopata nafasi ya kufunga kwenye Ligi Kuu Ufaransa. Messi alifunga bao moja kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Nates na PSG iliweza kushinda kwa mabao 3-1 ikiwa nyumbani. Mshambuliaji huyo alijiunga na timu hiyo akitokea Klabu ya Barcelona na mwanzo wa msimu wa…

Read More

CHAMA AOMBA KURUDI BONGO

KUFUATIA ugumu wa maisha anaokutana nao katika timu ya RSB Berkane ya nchini Morocco, kiungo wa zamani wa Simba, raia wa Zambia, Clatous Chota Chama, sasa rasmi ameomba kurudi kwa mabosi wake wa zamani Simba. Chama aliachana na Simba, mwishoni mwa msimu ulipita akijiunga katika klabu ya RSB Berkane ya Morocco kwa mkataba wa miaka mitatu, akiwa sambamba na winga wa zamani wa Yanga, raia wa DR Congo, Tuisila…

Read More

KMC YAIZIMA AZAM FC,YASHINDA MARA YA KWANZA

IKIWA Uwanja wa Uhuru, leo Novemba 21 Klabu ya Azam FC imepoteza pointi tatu mazima mbele ya KMC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara. Mchezo wa leo unakuwa ni wa kwanza kwa KMC kushinda ndani ya ligi kwa kuwa katika mechi tano zilizopita haikuwa inajua ushindi upoje kwa msimu wa 2021/22. Bao la kwanza lilipachikwa…

Read More