MO AMETOA BILIONI 5.2 SIMBA MBALI NA ILE BILIONI 20
LEO Novemba 21, Klabu ya Simba imefanya Mkutano Mkuu na Wanachama ambao umefanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere ambapo viongozi mbalimbali walikuwepo kwenye mkutano huo. Akisoma ripoti ya fedha ya bajeti ya mwaka uliopita wa 2020,Mkuu wa Kitengo cha Fedha,Utawala na Uendeshaji, Yusuph Nassor amesema kuwa kwenye bajeti ya mwaka uliopita…