SIMULIZI YA WEZI WALIORUDISHA NDINGA WENYEWE

SIMULIZI ya wezi waliorejesha ndinga waliyoiba
Imepita miaka sita tangu gari langu aina ya Toyota Hilux lilipopotea nilijaribu juu chini kulitafuta lakini wapi halikupatikana,nakumbuka vizuri jinsi kisa hicho kilipotokea.

Nilikuwa nafanya kazi na kampuni moja maarufu sana nchini nikiwa kama mfanyakazi wa kawaida hadi nilipopandishwa madaraka hadi nikawa meneja.

Maisha yangu yakachukua mkondo mwingine nikaanza maisha mapya,awali nilipitia changamoto si haba kwanza
kutembea kwa saa nyngi na kuwa abiria wa matatu kila siku ilikuwa inanigharimu fedha nyingi
zaidi.

Nilifurahia sana nlipopandishwa madaraka katika kampuni ile.
Kwa kweli rafiki zangu wengine hawakuhisi vizuri na mara nyingi walinionea kijicho lakini sikutia
shaka nlifanya kazi kwa bidii zaidi.

Nilipofanya kazi kwa muda mrefu kutokana na marupurupu
ya kila mwezi niliziweka kama pesa ya akiba ndipo niliamua kununua gari ambalo nililitumia
kwa minajili ya usafiri na kupunguza gharama ya usafiri.

Baada ya miezi kadhaa rafiki zangu wengine wakawa wananikodi gari wanaenda nayo mahali
kisha wanarejesha huo ukawa ndio mtindo wa kila siku.

Siku moja nilichelewa kutoka kazini kwa
vile kwangu nyumbani huwa mbali niliamuwa kupitia njia ya mkato ili nifike haraka sikujua ilikuwa siku ambayo gari langu lingeibiwa.

Nilipokuwa napita njia ile niliona gari ambalo
lilikuwa linanifuata kwa kasi sana,nilipokuwa najaribu kuongeza mwendo wa gari ,gari langu
liligongwa kutoka upande wa nyuma basi niliposimama wanaume wenye miraba minne walikuja
nilipokuwa nakuniagiza nishuke na niwape ufunguo wa gari,niliposita kuwapa nilizabwa makofi
na kichapo kikali kikafuatia hapo ndipo nilipopoteza fahamu, hapo ndipo gari langu lilipotea.

Nilipopata fahamu nilijikokota hadi nyumbani nisijue nianzie wapi nimalizie wapi ,siku ilifuatia nikapiga ripoti kwa Polisi ili wanisaidie kutafuta gari langu lililopotea.

Kila siku nilitumai kwamba walioiba gari langu wangepatikana,Polisi walijaribu kila wawezalo lakini walishindwa nikabaki hivo nisijue cha kufanya.

Wakati mmoja nilikuwa napitia maswala kadha wa kadha kwenye mtandao wa kijamii nilipopata nambari ya Kiwanga doctors, nilikuwa na hofu lakini nilijikaza kuwapigia na nilipoongea na wao nakuwaeleza yaliyonipata wakanishauri nisitie hofu gari langu
lingepatikana.

Nilikuwa nyumbani kwangu nilipoelezwa na mfanyikazi wangu kwamba kuna watu wanataka kuniona,nilienda kukuta kumbe rafiki zangu niliowadhamini ndio wezi, rafiki zangu walipiga magoti huku wakiniomba msamaha kwamba ni wao ndio waliochukua
gari langu na wamelirejesha, walisema waliyaona mambo yasiyo ya kawaida na yaliyowatatiza maishani mwao na wangeyaomba niyasimamishe.

Mara tu gari la Polisi lilifika kuwachukua.Nashukuru Kiwanga doctors sasa gari langu lilirudi .Nashauri yeyote
anayekumbana na matatizo ya wizi kutembelea Madaktari wa kiwanga kuweza kupata suluhu.

Madaktari hao wa kiasili pia hutibu magonjwa kama kifua kikuu, Saratani ya mapafu na mengine kadhalika. Watembelee leo upate suluhu. Kwa mengi tembelea wavuti www.kiwangadoctors.com ama pia waweza kupiga simu kwa
Nambari +254 769404965/barua pepe kiwangadoctors@gmail.com.