NI SUPER WEEKEND KUNAKO SOKA BARANI ULAYA… BUNDESLIGA, SERIE A NA EPL KIMEUMANA
Baadhi ya mitanange ya kibabe kuchezwa kwenye ulimwengu wa kandanda wikiendi hii. Ni Super Weekend ya kibabe sana viwanjani. Mchongo upo Meridianbet, mambo yapo hivi; Kwenye Bundesliga wikiendi hii, Borussia Dortmund kuchuana na Bayern Munich pale Signal Iduna Park. Uwanja ungependezeshwa kwa rangi za njano na nyekundu lakini, mlipuko wa Covid 19, unasababisha mchezo…