MAKAMBO ATAJA SABABU YA KUTOFUNGA,ASHUSHA PRESHA
HERITIER Makambo mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa sababu ya kushindwa kufunga ndani ya Ligi Kuu Bara kwa wakati huu ni kutokana na muda kutofika ila ukifika atafunga tu. Nyota huyo kwa msimu wa 2021/22 Yangaikiwa imecheza mechi 7 ndani ya ligi na yeye akicheza katika mechi tano hajaweza kufunga bao wala kutoa lasi pia…