
KIKOSI CHA GEITA GOLD DHIDI YA SIMBA
Kikosi cha Geita Gold dhidi ya Simba Sebusebu Wawa Mbegu Masai Yondani Nashon Okoyo Kagoma Mpole Lyanga Edmund Akiba Kayego Shamte Adeyem Bakari Chombo Seleman Chikola Massota Miraji
Kikosi cha Geita Gold dhidi ya Simba Sebusebu Wawa Mbegu Masai Yondani Nashon Okoyo Kagoma Mpole Lyanga Edmund Akiba Kayego Shamte Adeyem Bakari Chombo Seleman Chikola Massota Miraji
SIMBA Queens leo imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Corporate FC kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa kwa Wanawake uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Mchezo huo ni wakuwania kupata nafasi ya kufuzu mashindano hayo ambao ulikuwa na ushindani mkubwa dk zote 90. Mabao ya Simba yamefungwa na Aquino Corazone dk ya 21 akitumia…
Kikosi cha Simba kitakachoanza dhidi ya Geita Gold, leo Agosti 17 Aishi Manula Shomari Kapombe Mohamed Hussein Ouattara Jonas Mkude Pape Sakho Sadio Kanoute Moses Phiri Clatous Chama Peter Banda Akiba Beno Kakolanya Israel Mwenda Joash Onyango Mzamiru Yassin Okwa Okra Dejan Kyombo Kibu
KIUNGO Abdul Suleiman ambaye ni ingizo jipya ndani ya Azam FC, alipewa zawadi ya kuku na shabiki wa Azam FC hivi karibuni, leo Agosti 17 atakosekana kwenye mchezo dhidi ya Kagera Sugar kwa kuwa alipata maumivu kwenye mazoezi. Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Azam FC, Zakaria Thabit amesema kuwa mchezaji huyo alipata maumivu baada…
KIUNGO wa Geita Gold, Kelvin Nashon amesema kuwa anatambua wapinzani wao Simba ni imara lakini wao wataingia na plan mbili ikifeli ya kwanza watatumia ya pili ili kupata matokeo. Leo Agosti 17,2022 Simba inatarajiwa kuwakaribisha Geita Gold kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Mkapa. Unakuwa ni mchezo wa kwanza kwa timu zote…
MZUNGU wa Simba,Dejan Georgejick amesema kuwa anaumia kuona kwamba timu hiyo imepoteza kwa kufungwa mbele ya Yanga hivyo anaahidi kwamba atarejesha furaha kwa kuwa anatambua kila kitu kinawezekana. Mshambuliaji huyo amecheza mechi mbili ilikuwa moja ya kirafiki dhidi ya St George na moja ilikuwa ni ya Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga ambapo walipoteza kwa…
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara jana waliweza kuendelea pale walipoishia kwa kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Polisi Tanzania kwenye mchezo wao wa kwanza wa ligi. Wakiwa ugenini Uwanja wa Sheikh Amri Abeid waliweza kushuhudia bao moja la Polisi Tanzania likifungwa na Salum Kipemba ambaye alifunga bao hilo baada ya mpira wa nahodha…
SERGIO Gomez ambaye ni kiungo amesaini dili la miaka minne kuweza kuitumikia Klabu ya Manchester City. City ambao ni mabingwa wa Ligi Kuu England wameinasa saini ya nyota huyo ili aweze kupata changamoto mpya ndani ya Ligi Kuu England. Nyota huyo mwenye miaka 21 amesajiliwa kwa dau la pauni milioni 11 akitokea Klabu ya Anderlecht…
KOCHA Mkuu wa Simba, Zoran Maki amesema kuwa alipata muda mdogo kufanya maandalizi kuikabili Geita Gold kutokana na kumaliza mchezo dhidi ya Yanga wa Ngao ya Jamii,Uwanja wa Mkapa. Simba ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-1 huku mabao ya Yanga yakifungwa na Fiston Mayele ambaye alifunga mabao yote mawili na lile la Simba likifungwa na Pape…
LEO Agosti 17,2022 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea ambapo timu sita zitakuwa kwenye msako wa pointi tatu muhimu. Coastal Union v KMC, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid,Arusha. Simba v Geita Gold, Uwanja wa Mkapa. Azam FC v Kagera Sugar,Uwanja wa Azam Complex. Jana Agosti 16 zilichezwa mechi kwenye viwanja tofauti na matokeo yalikuwa namna hii:-…
AGOSTI 16,2022 Klabu ya KRC Genk imemtambulisha Nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania,Taifa Stars, Mbwana Samatta kuwa ni nyota wao mpya. Samatta anarejea kwenye klabu hiyo baada ya kupata changamoto mpya Januari 2020 na kuhamia Klabu ya Aston Villa inayoshiriki Ligi Kuu England. Samatta amejiunga na Genk akitokea Klabu ya Fenerbahçe kwa mkataba wa mwaka…
NYOTA mpya wa Simba, Dejan ana kazi nzito ya kuweza kufanya kwa msimu wa 2022/23 hasa kwenye nafasi ya ushambuliaji ambayo yupo huku akishindwa kuonyesha makeke kwenye mechi mbili ambazo amepata nafasi ya kucheza
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wamefungua pazia la Ligi Kuu Bara kwa ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Polisi Tanzania kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid,Arusha. Kwenye mchezo huo ambao ulikuwa ni wa kasi mwanzomwisho, mabao yalifungwa na Salum Kipemba dk ya 34 kwa Polisi Tanzania yale ya Yanga yalifungwa…
KIKOSI cha Yanga dhidi ya Polisi Tanzania:- Diarra Djuma Lomalisa Job Mwamnyeto Aucho Bigirimana Moloko Mayele Azizi KI Ambundo
SHOMARI Kapombe, nahodha msaidizi wa Simba amewaomba mashabiki wa Simba kujitokeza kwa wingi Uwanja wa Mkapa kesho kushuhudia mchezo wao dhidi ya Geita Gold. Simba inaingia uwanjani kwenye mchezo wa kwanza wa ligi ikiwa imetoka kutunguliwa mabao 2-1 dhidi ya Yanga kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Beki huyo ambaye hakucheza…
KOCHA Mkuu wa Polisi Tanzania,Joslin Sharif amesema kuwa amezungumza na mabeki wake kuhakikisha kwamba hawafanyi makosa mbele ya Yanga leo kwa kumlinda mshambuliaji Fiston Mayele asije kuwaadhibu pamoja na wachezaji wengine. Mayele ni mshambuliaji namba moja ndani ya Yanga ambapo alikamilisha msimu wa 2021/22 akiwa ametupia mabao 16 na pasi nne za mabao leo anakwenda…
BAADA ya kupoteza mchezo wa Ngao ya Jamii kwa ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Yanga 2-1 Simba,kete ya kwanza kwa Kocha Mkuu,Zoran Maki kwenye ligi ni dhidi ya Geita Gold,utakaochezwa Jumatano, Uwanja wa Mkapa. Maki ana kibarua cha kuweza kuanza kusaka taji la Ligi Kuu Bara ambalo lipo mikononi mwa Yanga inayonolewa na Kocha…