
NABI:TUNAHITAJI UTULIVU KUSHINDA
NASREDDINE Nabi,Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wanahitaji utulivu mkubwa ili kuweza kushinda mchezo wao wa Ngao ya Jamii dhidi ya Simba. Taji hilo Yanga wanalitetea ambapo walishinda mbele ya Simba kwa bao 1-0 msimu wa 2021/22 hivyo wana kazi ya kusaka ushindi. Nabi amesema kuwa kushindwa kufanya vizuri mchezo wa kirafiki haina maana kwamba…