
NABI APIGA HESABU ZA NGAO YA JAMII DHIDI YA SIMBA
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kupoteza mchezo wa kimataifa dhidi ya Vipers SC ni njia kwake kuweza kushinda Ngao ya Jamii dhidi ya Simba. Agosti 6,2022 Yanga ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-0 dhidi ya Vipers ina kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Simba,Agosti 13, Uwanja wa Mkapa. Mchezo huo ulikuwa ni wa…