
RATIBA YA MECHI ZA LEO LIGI KUU BARA
ILE burudani ambayo ilikuwa imekosekana kwa muda sasa inarejea kwa kasi ambapo ni leo Agosti 15,viwanja viwili vitakuwa na kazi ya kusaka pointi tatu. Ihefu FC ya Mbeya itawakaribisha Ruvu Shooting huku Namungo FC wao watamenyana na Mtibwa Sugar ya Morogoro. Ihefu inayonolewa na Kocha Mkuu, Zuber Katwila imerejea kwenye ligi kwa mara nyingine baada…