
MZUNGU WA SIMBA ABAINISHA ATAREJESHA FURAHA KWA MASHABIKI
MZUNGU wa Simba,Dejan Georgejick amesema kuwa anaumia kuona kwamba timu hiyo imepoteza kwa kufungwa mbele ya Yanga hivyo anaahidi kwamba atarejesha furaha kwa kuwa anatambua kila kitu kinawezekana. Mshambuliaji huyo amecheza mechi mbili ilikuwa moja ya kirafiki dhidi ya St George na moja ilikuwa ni ya Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga ambapo walipoteza kwa…