
AZAMKA KUNOGESHWA NA RAYVANNY
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa tamasha la AZAMKA ambalo ni maalumu kwa ajili ya utambulisho wa wachezaji wao wapya ni maalumu kwa ajili ya mashabiki. Kesho Agosti 14 Azam FC inatarajiwa kufanya tamasha lao la kipekee ambapo waandaaji watakuwa ni mashabiki wenyewe kwenye mipango kazi yote. Ofisa Habari wa Azam FC,Zakaria Thabit amesema…