
FT:SIMBA 2-0 ST GEORGE,UWANJA WA MKAPA
SIMBA imeshinda mabao 2-0 dhidi ya St George kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Ni mchezo maalumu kwenye kilele cha Wiki ya Simba ikiwa ni mchezo wa kwanza kwa Zoran Maki ambaye ni raia wa Serbia. Mabao ya Simba yamefungwa na mzawa Kibu Dennis na Nelson Okwa ambaye aliingia kipindi cha pili akitokea…