
BM 33:NIMERUDI JAMANI,AOMBA MSAMAHA KWA MASHABIKI
KIUNGO wa Yanga, Bernard Morrison ambaye amerejea katika kikosi hicho kwa kusaini dili la miaka miwili ameweka wazi kuwa anahitaji msamaha kwa yale ambayo aliyafanya na sasa amerejea. Jina la kiungo huyo lilipotajwa aliingia uwanjani huku akisema nimerudi,nimerudi jamani. Nyota huyo alitambulishwa kwa mara ya kwanza na Yanga kabla ya kusaini dili la miaka miwili…