
IBRAHIM AJIBU ANAISHI ULIMWENGU WAKE
STAA wa Azam FC, Ibrahim Ajibu anaishi kwenye ulimwengu wake ndani ya kikosi hicho kwa kuwa tangu amejiunga na matajiri hao wa Dar hana uhakika wa kuanza kikosi cha kwanza. Ajibu aliibuka Azam FC akitokea Simba aliahidi kuwa atafanya jitihada kutimiza majukumu yake ndani ya timu hiyo pamoja na timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa…