Home Sports VIDEO: UWEZO WA MGUNDA USIBEZWE ATAIFIKISHA NUSU FAINALI

VIDEO: UWEZO WA MGUNDA USIBEZWE ATAIFIKISHA NUSU FAINALI

SHABIKI wa Simba amebainisha kuwa kikosi cha Simba ambacho kinanolewa na Kocha Mkuu Juma Mgunda kimekuwa na mwendo mzuri jambo ambalo linamfanya azidi kukizoea kikosi hicho licha ya kutokuwa anakijua vema na kubainisha kuwa Mgunda ni kocha mzuri apewe muda

Previous articleVIDEO: MKWASA AWAPA PONGEZI YANGA, MAKOSA YAO YATAJWA
Next articleMUHIMU KWA WAAMUZI KUSIMAMIA SHERIA