
VIDEO: MKWASA AWAPA PONGEZI YANGA, MAKOSA YAO YATAJWA
MASTA Mkwasa amebainisha kuwa wamekubali wameshindwa na wamefungwa na Yanga kwenye mchezo wao uliochezwa Uwanja wa Mkapa
MASTA Mkwasa amebainisha kuwa wamekubali wameshindwa na wamefungwa na Yanga kwenye mchezo wao uliochezwa Uwanja wa Mkapa
OKTOBA 4, Ligi Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea ambapo mechi mbili zinatarajiwa kuchezwa. Polisi Tanzania ina pointi mbili wao watamenyana na Geita Gold wenye pointi tatu, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Ihefu wao hawana pointi wao watamenyana na Geita Gold yenye pointi tatu, Uwanja wa Highland Estate.
JUMA Mwambusi, Kocha Mkuu wa Ihefu amesema kuwa makosa ambayo wameyafanya kwenye mechi zao zilizopita watafanyia kazi ili kupata matokeo mazuri. Ihefu haijaanza kwa kufanya vizuri kwenye mechi za mwanzo ndani ya msimu wa 2022/23. Ikiwa imecheza mechi 4 haijakusanya pointi zaidi ya kuishia kupoteza mechi zote nne ikiwa nafasi ya 16 kwenye msimamo wa…
MABAO 6 yalikusanywa kwenye mechi tatu za Ligi Kuu Bara zilizochezwa Oktoba 4,2022 katika msimu wa 2022/23. Mchezo uliokusanya mabao mengi ulikuwa ni ule Ruvu Shooting 1-2 Yanga ikiwa ni mabao matatu kwenye mchezo mmoja. Watupiaji kwenye mchezo huo ni Feisal Salim dakika ya 52 na Bakari Mwamnyeto dakika ya 71 lile la Ruvu Shooting…
CLATOUS Chama kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji, pasi zake asilimia 88 alitumia kutoa kwa mguu wa kulia. Jumla nyota huyo alitoa pasi 87, alitumia mguu wa kushoto kutoa pasi 7 na ule wa kulia alitumia kutoa pasi 87. Mguu wake wa kulia una shida kubwa katika matumizi akiwa uwanjani kwa…
KITASA wa kazi ndani ya Geita Gold, Kelvin Yondani anatarajiwa kuukosa mchezo wa leo wa Ligi Kuu Bara dhidi Polisi Tanzania. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa leo Oktoba 4,2022, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Sababu kubwa ya kuukosa mchezo wa leo ni matatizo ya kifamilia ambayo anakabiliwa nayo. Mbali na Yondani pia staa mwingine Ibrahim Seleman…
MGUNDA kicheko Simba, Yanga SC yategua mitego ya Al Hilal ndani ya Spoti Xtra Jumanne.
Baada ya Ligi nyingi kusimama sasa moto unaendelea tena wiki hii, ni Ligi ya Mabingwa Ulaya moto ni mkali kila timu inataka kuonesha ubabe kwa mwenzake, Na wewe una nafasi ya kuonesha ubabe wako kwa kuweka ubashiri kwenye mechi hizi kupitia Meridianbet. Mtoto hatumwi dukani, ni mapema tu moto utawka kwenye dimba la Allianz…
MZAWA Feisal Salum mali ya Yanga amefikisha jumla ya mabao matatu ndani ya kikosi hicho akiwa sawa na Fiston Mayele raia wa DR Congo. Bao la tatu Fei Tofo amefunga leo Oktoba 3,2022 kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Ruvu Shooting, Uwanja wa Mkapa. Baada ya dakika 90 uao umesoma Ruvu Shooting 1-2 Yanga ambapo…
Najua ulikuwa unawaza ni wapi utaipata Kasino karibu yako, basi Meridianbet wamejibu kuhusu mawazo yako,mchongo uko hivi ukiwa na pesa yako unaweza kucheza Kasino kupitia mashine za Slot kwenye maduka ya Meridianbet yaliyopo mitaani, cha kufanya tembelea kwenye maduka hayo uweze kufurahia Kasino yenye bonasi kubwa. Kwenye maduka ya Meridianbet utakutana na mashine “Slots” za…
JAMBO dogo likibadilika kwenye kitu lazima kila mmoja atakuwa na makasiriko kwenye moyo wake akiamini kwama anaonewa ama akiamini hakustahili kufanyiwa hilo. Ukweli ni kwamba kama hautakubali mabadiliko yatokee kwenye maisha wewe umekata tamaa na hatukati kuendelea kupambana na maisha. Pale inapotokea jambo jipya na geni kwako ni fursa ya kujifunza na kuamini akili yako…
MILIONI 300 zinatajwa kutumika kwa ajili ya ujenzi wa Uwanja wa Mo Simba Arena kwa ajili ya ujenzi wa ukuta
MECHI za Ligi Kuu Bara leo Oktoba 3,2022 ikiwa ni msimu wa 2022/23 Coastal Union ya Tanga itamenyana na Kagera Sugar saa 10:00 jioni. Ruvu Shooting v Yanga, saa 12:15 jioni Azam FC v Singida Big Stars, saa 2:15 usiku.
MSHAMBULIAJI wa Simba, Moses Phiri ametangazwa kuwa mshindi wa Tuzo ya Mchezaji Bora waMashabiki ndani ya mwezi Septemba. Ni mashabiki ambao walikuwa wanachagua kwa kupiga kura kupitia mitandao ya kijamii ambapo ni Phiri alikuwa ameingia fainali na Mzamiru Yassin pamoja na Clatous Chama kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki (Emirate Aluminium Profile Simba Fans…
LICHA ya kupata bao la kuongoza mapema kupitia kwa mzawa Nickosn Kibabage ilikuwa ngumu kwa Mtiwa Sugar kusepa na pointi tatu za Mbeya City. Mchezo huo ulichezwa Uwanja wa Manungu Oktoba 2,2022 na bao ulisoma Mtibwa Sugar 2-2 Mbeya City. Kwa matokeo hayo Mbeya City ni wamepindua meza kibabe. Bao la mapema kwa Mtibwa Sugar…
ZAKARIA Thabit, Ofisa Habari wa Azam FC amebainisha kwamba wachezaji wana machungu aada ya kupoteza mchezo wao dhidi ya Tanzania Prisons uliochezwa Uwanja wa Sokoine, Ijumaa ya Septemba 30,2022 kwa kufungwa bao 1-0 hivyo hasira zinakwenda kwenye mchezo dhidi ya Singida Big Stars
DAKIKA 540 za maajabu ya Mgunda Simba, Yanga v Ruvu Shooting, huku rekodi, kule kisasi litakufa jitu ndani ya Championi Jumatatu