
MECHI ZA SIMBA, YANGA, AZAM KUPANGIWA TAREHE UPYA
MICHEZO mitatu ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2022/23 itapangiwa tarehe mpya tofauti na ile ya awali ambayo imepangwa. Kwa mujibu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara, (TPLB) imeeleza kuwa imeamua kufanya hivyo kuzipa muda timu shiriki kimataifa kufanya maandalizi. Mechi hizo ilikuwa ni pamoja na ule mchezo wa Singida Big Stars dhidi ya…