
VIDEO: ALLY KAMWE ATOBOA SIRI NZITO YA KIPIGO
WAPINZANI wa Yanga, Al Hilal wapo kwenye ardhi ya Tanzania tayari kwa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa Oktoba 8,2022. Ally Kamwe Ofisa Habari wa Yanga amewazungumzia wapinzani hao