Home Sports VIDEO: KIUNGO WA YANGA AWAITA MASHABIKI KWA MKAPA Sports VIDEO: KIUNGO WA YANGA AWAITA MASHABIKI KWA MKAPA October 7, 2022 FacebookTwitterPinterestWhatsApp GAEL Bigirimana kiungo wa Yanga amesema kuwa mashabiki wa Yanga wajitokeze kwa wingi kesho, Uwanja wa Mkapa kuwapa sapoti kwenye mchezo dhidi ya Al Hilal ambao ni wa Ligi ya Mabingwa Afrika