
KIKOSI CHA SIMBA KINACHOTARAJIWA KUANZA V DE AGOSTO
SIMBA leo ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya de Agosto ya Angola, hiki hapa kikosi kinachotarajiwa kuanza
SIMBA leo ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya de Agosto ya Angola, hiki hapa kikosi kinachotarajiwa kuanza
PSG wanatajwa kuwa kwenye hesabu za kuiwinda saini ya mshambuliaji wa Chelsea, Pierre Emerick Aubameyang. Ripoti kutoka Ufaransa zimeeleza habari hiyo kuhusu dili la staa huyo wa Chelsea. Auba alijiunga na Chelsea akitokea Barcelona kwa dili la pauni milioni 10 na amefunga mabao mawili kwenye mechi nne. Inaelezwa kuwa Auba yupo tayari kurejea Ufaransa kucheza…
UZOEFU wa nyota wa kimataifa waliopo ndani ya kikosi cha Yanga ikiwa ni pamoja na Djuma Shaban, Yannick Bangala na Tuisila Kisinda ni sababu ya Yanga kuwa imara. Chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi, Yanga imecheza mechi 42 za ligi bila kupoteza na jana wametoka kulazimisha sare ya kufungana bao 1-1Al Hilal. Kocha Mkuu wa…
KUPANGA ni kuchagua ikiwa mpango kazi wa kwanza ulikwama basi kuna mpango wa pili ambao huwa na maamuzi ya mwisho kwenye ulimwengu wa mpira. Kila mmoja kwa sasa macho na maskio ni kwenye mechi za kimataifa ambazo wawakilishi wetu wapo huko wakipambania kombe. Azam FC wao kazi yao ni dhidi ya Al Akhadar ya Libya…
REKODI zinaibeba Simba,tulieni kazi haijaisha, Mayele ambeba tuzo Afrika ndani ya Spoti Xtra Jumapili
DAKIKA 90 zimekamilika, Uwanja wa Mkapa kwa timu zote mbili kutoshana nguvu kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Ubao umesoma Yanga 1-1 Al Hilal, mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya Pili, mchezo ujao Yanga wanakibarua cha kusaka ushindi ugenini ili kukata tiketi ya kutinga hatua ya makundi. Watupiaji ni Fiston Mayele dakika…
MSAFARA wa wachezaji wa Simba pamoja na benchi la ufundi umewasili salama nchini Angola leo Oktoba 8,2022 kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya de Agosto. Ni jumla ya wachezaji 24 ambao walikuwa kwenye msafara huo miongoni mwao ni pamoja na Aishi Manula, Ally Salim na…
KIKOSI cha Yanga kinachotarajiwa kuanza leo Oktoba 8,2022 dhidi ya Al Hilal mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kipo namna hii:- Diarra Djuma Kibwana Job Bangala Aucho Feisal Moloko Mayele Aziz KI Morrison Akiba ni:- Mshery Bacca Nondo Lomalisa Mauya Sure Boy Kisinda Farid Makambo
IMEELEZWA kuwa Yanga wameambiwa wamlipe Luc Eymael aliyekuwa kocha wa timu hiyo msimu wa 2020 kiasi cha dola milioni 152 za kimarekani. Taarifa kutoka Shirikisho la Soka Kimataifa, (FIFA) imeeleza kuwa Yanga wamepewa siku 45 kulipa fedha hizo. Ikiwa watakwama kukamilisha shauri hiyo kwa muda wa siku 45 watapewa adhabu ya kufungiwa kufanya usajili kwenye…
Ile kampuni kubwa duniani na maarufu kwa utengenezeji wa games Expanse Studios wanakuja na kitu kipya mjini, mzigo wenyewe ni haujawahi kutangazwa sehemu yeyote ile, ni tukio la uzinduzi wa sloti mpya Zaidi. Ni wiki chache tu baada ya kushiriki katika Mkutano wa SBC mjini Barcelona, wenye Sloti mpya zaidi, kama Pirate’s Power, Magic Wheel…
MSHAMBULIAJI wa Manchester City, Erling Haaland ambaye ametua ndani ya timu hiyo kwa pauni milioni 51 akitokea Borussia Dortmund anakunja mkwanja mrefu kinomanoma. Staa huyo mwenye miaka 22 analipwa vizuri ndani ya Etihad inaelezwa kwamba ukiweka kando bonasi anazopokea kwa wiki anakunja pauni 850,000 (bilioni 2.2 za Kitanzania). Ukicheki mshahara wa nyota huyo na zile…
MATAJIRI wa Dar Azam FC leo watakuwa na kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika raundi ya Pili dhidi ya Al Akhdar ya Libya. Jana wachezaji hao walifanya mazoezi ya mwisho kwa ajili ya kuanza kuzikimbiza dakika 90 wakiwa ugenini. Ni nyota 25 wapo nchini Libya miongoni mwao ni pamoja na…
IKIPIGWA sana ngoma mwisho inashindwa kuhimili mikikimikiki hiyo inagotea kwenye kupasuka jambo litakaloifanya iepukane na suala la kupigwa kwa mara nyingine. Uzuri ni kwamba kwenye suala la upigaji na yule anayepiga lazima atambue kwamba itafika muda na yeye atapigwa tu kwani kuimba ni kupokezana. Katika Ligi ya Mabingwa Afrika tunaona kwamba wawakilishi wetu kimataifa wanatamba…
JOHN Bocco, nahodha wa Simba ameweka wazi kuwa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika wanahitaji kufanya vizuri ili kufikia malengo ambayo wyapo kwenye timu hiyo
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wamejiaandaa kupata matokeo kwenye mchezo dhidi ya Al Hilal ili kuweza kufikia malengo yao ikiwa ni kutinga hatua ya makundi. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa leo Uwanja wa Mkapa ikiwa
MSAFARA wa wachezaji 24 wa kikosi cha Simba leo mapema Oktoba 8,2022 wamekwea pipa la kukodi kuelekea Angola. Ni kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya de Agosto unaotarajiwa kuchezwa kesho, Oktoba 9, Uwanja wa Novemba 11 uliopo Angola. Miongoni mwa wachezaji ambao wapo kwenye msafara huo ni kipa namba moja…
KWA muziki huu, nyie nyie, wanatokea wapi hawa, Simba watumia siku 14 kupangua hujuma Angola ndani ya Championi Jumamosi