
KINDA BRIGHTON ASTAAFU SOKA KUTOKANA NA MATATIZO YA MOYO
KIUNGO wa Brighton Mzambia, Enock Mwepu amelazimika kustaafu soka akiwa na miaka 24 baada ya kubainika kuwa ana matatizo ya moyo. Mwepu alijiunga na Brighton akitokea Red Bul Salzburg msimu uliopita kwa dau la pauni milioni 18 na msimu huu amecheza mechi sita za Premier. Tatizo lake lilianza kubainika wakati wa mapumziko ya timu za…